Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

HEMEDY PHD NIMESHA CHAFUA SANA SASA NATAKA KUOA..

 muna akiwa kwenye pozi tata

Msanii wa filamu nchini Hemedy aka PHD mwenye mikogo kuzidi mabilioni ya Dr dre amesema baada ya kuchafua sana sasa anataka kutulia na kuoa kabisa.
        Hemedy alisema hayo alipokuwa akiongea na paparazi, Phd alisema kuwa "Nimechafua sana more than sana nikaona hii bora iishe maana mama yangu anataka vitu ving kutoka kwangu so nimepata msichana ninaye mpenda na yeye ananipenda so natarajia kufunga ndoa mwezi november  huyu ndiyo mchumba wa Hemedy anaitwa  Muna aka Momo
Hemedi akiwa na mchumba wake  Muna

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!