Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

Tuhuma za Genevieve Mpangala MISS Tanzania 2010 zinaweza kuwa za KWELI!!

lundenga akiwa ofisini kwake na miss tanzania Genevieve mpangala
MISS Tanza 2010, Genevieve Mpangala,  amechafuliwa ndani ya mtandao mmoja na watu wanaodaiwa ni wabaya wake, kwa mujibu la gazeti moja pendwa limenasishwa hivyo.
 Kwa mujibu wa mtu wa karibu na mrembo huyo mwenye maadili, Oct 24, mwaka huu, watu hao waliingiza picha kwenye mtandao mmoja na kusema mlimbwende huyo kwa sasa ameamua ‘kujiuza’.

Habari zikaenda mbele zaidi kwa wanajmii hao kuweka namba ya simu ya mkononi ya Genevieve wakieleza kuwa kwa anayemtaka awasiliane naye.
Picha hizo ambazo watu hao wanadai ni za Genevieve zinamuonesha akiwa amesimama, lakini zikachomekwa na nyingine za kutengeneza ambazo eti ni miss huyo akiwa mtupu!
Novemba 6, mwaka huu, paparazi wetu alimtwangia simu kinara huyo wa Bongo mwaka 2010 na kumuuliza ukweli wa picha hizo.
“Ninasikitika sana kwa kashfa hii niliyotengenezewa bila mimi kujua, mtu ametumia picha zangu na nyingine za kuungaunga na namba yangu ya simu katika mtandao akidai eti ni mimi najiuza, jambo ambalo si kweli.
“Katika hali ya kawaida jamani miss kama mimi tena niliyewahi kushika taji la juu naweza kuweka picha na namba zangu za simu na kusema natafuta mabwana? Ukiachilia mbali malezi niliyonayo, hata maadili ya Kitanzania hayaruhusu uchafu huo.
“Picha moja niliyosimama nilipigwa na kaka yangu mjini Morogoro ambako tulikwenda kwenye Miss Morogoro na pale ni hotelini nilikofikia,” alisema mrembo huyo.
Baadhi ya mitandao ya kijamii imeingia lawamani ikidaiwa kutumika vibaya na watumiaji wake. Inadaiwa kuna watu wanatengeneza picha chafu za watu maarufu na kudai ni zao halisia kitendo ambacho si cha kweli. 

 Inasemekana lakini, so inaweza ikawa kweli pia kwa kuwa hata ukiangalia mazingira ya chumba! Shuka pamoja na nguo alizokuwa amevaa zikifuatiliwa ni za kwake. Tunahitaji maelezoya kina zaidi!
Baadhi ya picha zilizotumiwa.

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!