Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

Vincent Kigosi -BILLZ


Msanii wa Bongo Movies,Vicent Kigosi aka Ray aka The Greatest alizingua 'night kali' pande za Club Billicanas aka billz akiwa na waigizaji warembo wa Bongo Movies Wema Sepetu na Jack Pentezel, Palikuwa hapatoshi hata kidunchu!! Wajua nini sasa!?

Issue ilikua ni kuhusu parking pande hizo na kutokea kutoelewana kati yake na washikaji wengine na kuamua kutoa bastola na kupiga juu

Kila aliyekua karibu alitafuta uchochoro na baada ya hali kutulia raia walimzingira na kumpa kipondo baridi kabla kuja wajeda na kuepusha shari

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!