Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

Big Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Tanzania Atolewa.....Kupiga Punyeto hadharani kwamponza, Africa nzima Ilimchukia ndani ya Sekunde!

Mishiriki wa Tanzania, Laveda, jana  alitolewa  rasmi  katika  jumba  la  big  Brother  Africa  na  kuifanya  Tanzania  kubaki  na  mshiriki  mmoja  tu  ambaye  ni  Idris.
  Pamoja na kutoka akiwa na skendo ya kupiga  punyeto mbele ya wenzake, Laveda amesema hakuna anachojutia kwa muda wote aliokaa katika  jumba  hilo .
  “Oh trust me when I say this, I would not change anything! I leaved, I breathed, I showcased who I really am and I cannot change that. I was being me 100% so if I did anything to offend Africa I apologise for that, but that is just purely who I am and it gets very tricky when that is captured on
camera
24/7,”
alijibu Laveda alipoulizwa  na 
Mtandao wa Channel24 wa Afrika Kusini  kama kuna kitu ambacho anatamani angekibadilisha.

        Kutokana  na  maoni  mbalimbali  ya  wasomaji  wetu  wanaolifutilia  shindano  hili  toka  nchi  mbali mbali  za  Africa  kupitia  www.bigbrotherafricans.com, upo  ushahidi  kwamba  kitendo  cha  Laveda  kupiga  punyeto  mbele  ya  wenzake  kiliwachukiza  wengi  na  hivyo  kutaka  aondolewe.
        Tangu  kufanyika  kwa  tukio  hilo  usiku  wa  Ijumaa, waafrika  wengi   hasa  wanawake walionesha  kukerwa  na  kitendo  hicho  wakisema  ni  cha  kudhalilisha, hivyo  ni  bora  Laveda  atolewe  ili  akaendelee  kupiga  punyeto  akiwa  chumbani  kuliko  vile  anavyopiga  punyeto  mbele  ya  wazazi  wake  na  wadogo  zake.
    Yafuatayo  ni  baadhi  ya  maoni  ya  wasomaji  wetu  waliyoyatoa  muda  mfupi  baada  ya  taarifa  za  Laveda  kuwekwa  hadharani.
   Baada  ya  kugundua  kuwa  Africa  nzima  imemchukia  Laveda, Tuliamua  kuandika  habari  ya  kumtetea  kwa  kile  alichokifanya.   
   Habari  hiyo  iliwekwa  katika  mtando  huu  wa  MPEKUZI. Hata  hivyo, ni  habari  ambayo  haikuonyesha  kuzaa  matunda  kama  ilivyokusudiwa  kutokana  na  ukweli  kwamba  Mpekuzi  inawasomaji  wengi  sana  wa  Tanzania  tofauti  na  ilivyo  www. bigbrotherafricans.com  ambayo  inasomwa  Africa  nzima.
    Tunakutakia  Maisha  mema  Laveda, kukosea  ni  kujifunza.Hakuna  aliye  mnyoofu  na  ndo  maana  penseli  ikawekewa  Kifutio.

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!