Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

AIYEKUWA Mume wa Nora Afunguka Baada ya Ndoa yao Kuvunjika

ALIYEKUWA mume wa msanii wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’, Masoud Ali ‘Luqman’ amesema ni kweli ndoa yao imevunjika muda mrefu uliopita ila sababu ya kuachana kwao ni aibu endapo ataitaja.     
Akizungumza na Ijumaa baada ya habari ya Nora kupewa talaka kuripotiwa, Luqman alisema kumekuwa na maneno mengi yanayosemwa na watu kuhusiana na kuvunjika kwa ndoa yao lakini yote si ya kweli ila siku akiamua kuitaja sababu, Nora hatatembea mtaani kwa aibu.
“Ni kweli ndoa imevunjika, tumekuwa tukiachana mara kwa mara na kurudiana lakini safari hii imekuwa ni moja kwa moja kwani mimi nina mtu wangu mwingine na yeye nasikia ana mtu wake.
“Kinachonikera ni sababu zinazotajwatajwa kuwa ndizo zilizosababisha kuachana kwetu kwani si za kweli, mimi ndiyo nina sababu na sababu zenyewe nikizianika itakuwa ni aibu kwa Nora, Nora anyamaze na aendelee na maisha yake na kama ana ujasiri aseme yeye kwa nini tumeachana…” alisema Luqman.
Nora na Luqman walifunga ndoa mwaka juzi ambayo
imedumu miezi 24 tu.

SITUMII MADAWA YA KULEVYA! LORD IZY!


Habari mpya  kutoka kwa Lord Eyez baafa ya kuchonga nasi kuhusiana na 
watu kumuhusisha na utumiaji wa Madawa ya kulevya aliweza kufunguka na kuweka wazi kwa  kusema,“Kiukweli mimisijihusishi kabisa na utumiaji wa madawa ya kulevya na wala si support watu watumie kwani utumiaji wa madawa ni hatari ”- Lord Eyez.

ROSE NDAUKA UFUNGUKA KUHUSU NA SKENDO ZA UTAPELI..

ROSE NDAUKA

New news  from Rose Ndauka after piga piga story na mwandishi wa habari hii  ni  kuhusu skendo za utapeli.....

Mrembo  huyu amefunguka  na   kusema kwamba kumekuwa na madai mengi sana kwamba amekuwa akiitisha usahili  kwa wasanii chipukizi na kuwachukulia fedha bila kuwashirikisha katika filamu zake.....

Ndauka alikanusha na kusema kwamba sio habari za kweli kwani anapoita usahili pale mtu anapofanya vizuri anamchukua na kama akifanya vibaya basi anamuelekeza ili siku nyingine atakapoitaji tena aweze kushiriki tena. 

Hayo ndiyo maneno ya Rose Ndauka baada ya kuchonga nasi kuhusiana na tetesi ambazo zilikuwa zikizungumziwa kwamba anawachukia wasanii chipukizi wa filamu.

MAMBA AUA MWANAFUNZI NAKUJERUHI BABA MWANZA


MWANAFUNZI mmoja Pascal Abudallah (14), wa Shule ya Msingi Nantare ameuawa na mamba kijijini hapo.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Ngoma, Mwanza vijijini, Khamisi Ndaro amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na akaongeza kwamba kilitokea saa 1.30 usiku mwishoni mwa wiki iliyopita na tayari mtoto amezikwa kijijini hapo.


Aliongeza kuwa licha ya kifo cha mtoto huyo, baba mmoja aitwaye Mtimba Manyeye (64) naye alipoteza kidole cha mkono wa kushoto baada ya kushambuliwa na mamba akiwa kando ya Ziwa Victoria.


Aidha, Afisa Mtendaji Ndaro alisema wanyamapori wamekuwa wakisumbua wananchi na akatoa mfano wa nyani ambao wapo zaidi ya 1,000 nao wamekuwa  wakisumbua sana wakulima wa eneo hilo kwani wameharibu zaidi ya hekari 150 za mashamba yao, hivyo kuwafanya kukata tamaa kuendelea kulima.


“Maofisa wa wanyamapori wamekuwa wakifanya msako lakini wanyama hao wanaendelea kuwa tishio kwa raia,”alisema Ndaro.

RAYUU APEWA DEAL ZITO NDANI YA SOTH AFRICA


Actress machachari mchanga anayetolewa na nguli wa Tamthilia na riwaya Bongo mr. Tuesday Kihangala. (Mr.Chuzi) Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono ama blue or XXX kama wengi wanavyosanda! maendeo ya huko Afrika Kusini kwa   Mzee Nelson! ambayo inashirikisha nyota kibao wa ndani ya Afrika.


Inadaiwa kuwa msanii huyo ameonekana na watu hao baada picha zake kadhaa kuzagaa kwenye mtandao ndipo wapoliamua kumtumia ujumbe kwa njia ya mtandao, na kama atakubali basi atakula mshiko ambao hajawahi kuukamata tangu alipodhaliwa.

Chanzo kikubwa cha kuaminika kilichofanya upekuzi huo, kilibaini ukweli kwamba msanii huyo anachati na watu hao lakini hajawaweka wazi kama ataweza kufanya ishu hiyo ambayo itambidi asafiri.

Mpekuzi huyo alitumia muda wa saa kadhaa kukaa na msanii huyo na kumdadisi lakini hakupewa chochote na inadaiwa kuwa ishu hiyo ipo na watu wanamtaka kutokana na uzuri wake, pia wameona ni mtu ambaye hana aibu baada ya kuziona baadhi ya tattoo kwenye makalio yake.

“Inadaiwa kuwa jamaa walichokipenda kwanza ni msanii pia hana aibu kwani aliweza kuchora tatoo, lakini sijui kama msanii huyo amewajibu kwani habari nilizonazo tena nimeona kupitia macho yangu ni hizo, asa sijui ni watu wanamzingua au vipi,” alisema mpekuzi huyo.

Hata hivyo alipotafuwa Rayuu kuulizwa juu ya ishu hiyo alibaki kuchecheka na hakuna chochote alichozungumza zaidi ya kudai kuwa kuna watu wamemtumia mail ya kumtaka akacheze picha hizo kwa dau kubwa lakini hajawajibu kwani anahisi wanataka kumuharibia mipango yake ya maisha kwa madai hiyo kitu ambayo hawezi kufanya katika maisha yake. sasa sisi wadau hatujui kama kweli hawezi cheza au! ni zuga? Pesa! tena Ndefu mh! ngoja Tuone!!

ORODHA YA WALIOTUNUKIWA TUZO ZA CHANNEL O.

Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
Most Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Kwa hakika tuzo hizo zilitawaliwa zaidi na wasanii wa Nigeria na Afrika Kusini waliochukua vipengele vyote kasoro cha video bora ya Afrika Mashariki iliyoenda kwa AY na Sauti Sol pamoja na vipengele vingine viwili vilivyochukuliwa na Buffalo Souljah wa Zimbabwe na D-Black wa Ghana.
Pongezi nyingi ziende kwa Ambwene Yesaya aliyeitoa Tanzania kimasomaso kwa kuchukua tuzo moja.
Hii ni list nzima ya washindi wa CHOMVA 2012
Most Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video – D’Banj
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Duo, Group or Featuring Video – P Square ft. Akon and May D – Chop My Money
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted African South Video: Cashtime Fam – Shut It Down (Stundee).
Most Gifted African West Video: D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted African East Video – Ay ft Saut Sol – I Don’t Want to be Alone
Most Gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa

AMBWENE YESAYA (AY) ATUNUKIWA TUZO ZA CHANNEL O..

Ambwene Yesaya aka AY kutoka TANZANIA anyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol. Hongera brada! Ila all in all Hongera CP- C PWA! kwa kuwa nominee wa tuzo hizo!! ijapokuwa haukurudi na hiyo kitu ilaaa one day bro!! Hongera sana brothers! I appreciate on ma self and watanzania wote kwa ujumla!! i blv..

BONGO MOVIES NA SKENDO ZA UKAHABA

Ni muda mrefu imekuwa ikisemwa kuwa wasanii wanaoendesha maisha yao kwa ‘kuuza nyago’ kwenye filamu za Kibongo ni watu wanaojiuza, kufanya ufuska na kupiga picha za utupu, ambapo imeshawahi kutolea orodha ndefu ya wasanii hao, huku wengine wakiondoka nchini na kwenda kufanya ufuska huo nje ya Tanzania.


Madai ya kufanya ufuska yaliwahi kuthibitishwa na msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta" aliyesema kuwa “Kiukweli sanaa inatufanya wasanii wa kike tuingie kwenye vitendo vya umalaya. Sanaa ya Bongo ni vigumu sana kutoka, hailipi kabisa... yaani inatakiwa mtu ufanye kazi nyingine tofauti ndiyo uweze kufanikiwa. Wasanii unaowaona wamefanikiwa si kwa filamu pekee, wana mambo mengine,” alisema na kuongeza:

“Kwa bahati mbaya kuna wanaotaka kutumia njia ya mkato, hao wanajikuta wameangukia kwenye umalaya. Kwa sababu wanafanya mambo yao na jamii inawaona, wasanii wote wa kike tunahesabiwa ni malaya tu.”

Miezi ya karibuni habari za kuaminika zilitolewa tena kuwa wasanii wengine wawili wa filamu, Kelvina John na Edna Gabriel, walikuwa wanafanya ufuska nchini Kenya ikiwa ni pamoja na kujiuza na kupiga picha chafu.

Chanzo kimoja makini cha habari ambacho kipo nchini humo kiliwahi kutonya kuwa, wasanii hao walikuwa wanafanya uchafu huo wakiwa jijini Nairobi ambako walikwenda kwa shughuli ambayo hadi sasa haikufahamika.

“Kwa kweli hawa mademu wamepinda, yaani wamediriki kupiga picha chafu wakiwa katika hoteli moja hapa Nairobi na walikuwa wakijichanganya katika klabu ambazo baadhi ya wanawake hucheza uchi na kujiuza, mimi kwa kuwa nawajua nilipowaona nilishangaa sana,” kilidai chanzo hicho.

Kikaongeza kuwa, walivyoonekana wasanii hao ni kama walikwenda kwenye jiji hilo kwa lengo la kufanya ufuska wakijua huko hakuna atakayewajua.

Katika kuweka mambo sawa, mpekuzi wetu alimtafuta mmoja wa wasanii hao, Kelvina kuzungumzia skendo hiyo na alipopatikana alikuwa na haya ya kusema:

“Sisi tulipiga picha zetu wenyewe kwa matakwa yetu sijui kwa nini mtu alizichukua na kuwaletea? Na hilo suala la kuingia kwenye klabu za wacheza uchi tuliingia tu kama moja ya kumbi za starehe lakini siyo kwamba tulienda kucheza au kujiuza kama mlivyoambiwa.”

Diamond Aikacha Birthday Party ya Najma.


STAA wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliikacha sherehe ya kuzaliwa ‘bethdei’ ya demu anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa, Najma, Risasi Jumamosi lina mkasa mzima.
Sherehe hiyo ilifanyika Novemba 13, mwaka huu nyumbani kwa dada wa Najma (jina halikupatikana mara moja) aishiye Mbezi ya Afrikana, Dar.
Baadhi ya waalikwa walikuwa wakihoji alipo Diamond kwa vile mchana kutwa wa siku hiyo mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari vya kielektroniki viliripoti kwamba Diamond ataitumia bethdei hiyo kumvisha pete ya uchumba Najma.
Mpaka inatimia saa 6:30 usiku, Diamond alikuwa hajatokea na baadhi ya waalikwa, akiwemo dada wa Diamond na wacheza shoo wake waliamua kutimka kwenye eneo la tukio.
     Katika kuondoa machungu ya ‘kutelekezwa’ na sherehe yake, habari zinadai, Najma na dada yake waliamua kuibeba keki ya shughuli kutoka Mbezi  hadi Ukumbi wa New Maisha Club, Masaki, Dar ambapo pia kulikuwa na sherehe kama hiyo ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz.
Akizungumza na paparazi wetu siku iliyofuata,  Diamond alijitetea kuwa hakuweza kuhudhuria kwenye sherehe ya Najma kutokana na kutingwa na shughuli za uandaaji wa video ya wimbo wake mpya wa Nataka Kulewa.

“Nilishindwa kwenda kwenye bethdei ya Najma kwa sababu nilikuwa na kazi nyingi za kuhakikisha video ya wimbo wangu mpya inakamilika siku mbili hizi,” alisema Diamond.

Masogange aaanika kiungo chake!!

VIDEO Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ hivi karibuni ameamua kumuanika mpenzi wake aitwaye Evance Komu kupitia mtandao wa BBM.
Masogange alifanya hivyo kwa kutundika picha zinazomuonesha akiwa kimahaba na mwanaume huyo kisha kusindikiza na maneno yasemayo; ‘mke wa Komu’.
Aidha, msanii huyo amemlalamikia mtu mmoja aliyejipachika jina la Agness kisha kufungua akaunt kwenye facebook na kuweka picha zake na kuwatongoza wanaume.
“Nimechoshwa na huyu mtu, nikimbaini kweli nitamuumiza kwani ananishushia hadhi yangu, mimi nina wangu najiheshimu, siwezi kujiuza mtandaoni,” alisema Agness.
Evance alianza kupata umaarufu miaka kadhaa iliyopita baada ya kujitosa katika tasnia ya filamu Bongo ambapo alianza kucheza filamu ya Roho Sita na Valentine Day zilizosumbua sokoni.

BAADA YA NDOA SASA AUNT ATAFUTA JINA LA KUMUITA MUME WAKE!...

Baada ya harusi ya Aunty Ezekiel kutikisa mioyo na mawazo ya watu wengi nje na dani ya nchi ya Tanzania, sasa harusi hiyo imefanyikia huko Dubai , sasa baada ya kufanyika kwa harusi hiyo, Wengi Wamekuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake  baada ya Aunt Kumficha kwa Muda Mrefu... Haya Sasa Kidume ndiye Huyo Hapo Kwa Picha ...inasemekana etiii baaada ya wewe kuziona hizi picha msaidie Aunt kumchagulia jina la kumuita Mume wake huyo HB mwenye mijipesa kama Lil Wyne Young Money wa mbefele. Amuite Honey? au baby, sweet heart au Laaziz?
Ni zamu yako sasa... mchaglie Jina!!



TUIACHIE MAHAKAMA IFANYE UCHUNGUZI -LORD EYES



Mwana HIP HOP mkali Mweusi toka A- City, Lord Eyez amekutana na waandishi wa habari akiwa na mtetezi aka wakili wake ili kuzungumzia kesi ya kukwara vifaa vya gari la msanii mwenzake mbana... mh! mh! anayetamba na kibao chake cha badaye! baada ya kuchomoka na NAI NAI Ommy Dimpoz kwa poz.

Mweusi huyo alidokeza kuwa yeye kwa sasa anaiachia mahakama ili Pilatoaweze kupima uzito na kweli wa shtaka! Hiyo ndiyo itaweza kumfanya pilato aweze kuchukua maamuzi ya kisheria kama yeye alihusika ama hakuhusika katika wizi huo wa vifaa vya gari la mbana mh! mh! wa nai nai na baadaye!!

Wakili wamweusi huyo anayejulikana kwa jina la Peter Kibatala amesema kesi hii imefanya mpaka Lord Eyez kuonekana kwamba yeye ndiye mhusika wa wizi wa vifaa hivyo lakini kwa sasa hivi wanaiachia kwanza mahakama ndiyo itakayoweza kuchukua uamuzi sahihi kuhusiana na kesi hiyo.

Hizi kauli za mweusi huyu na wakili wake zinaonekana zimepimwa na ruler ya kisheria kwa sababu ni kosa kisheria kujadili kesi ambayo iko mahakamani .

Wanajamii wa weusi nao hawakua nyuma kama mkia wa sungura, walisema ‘neno’ kuhusu tuhuma zinazomkabili member huyo na kwamba tukio hili limewaathiri hasa pale wanapokutana na watu mbalimbali na kusikia tory toka kwa watu kwamba wote watakuwa wanahusika katika tukio hilo wakati ni story ambazo sio za kweli..

Kesi hiyo inatarajiwa kusomwa katika mahakama ya mwanzo jijini Dar es Salaam tarehe 13, 14 na 15 mwezi huu wa Novemba.

Hata hivyo soldier mweusi tiiiii.. amesema kwa sasa anachotaka kufanya ni kudondonsha ngoma yake mpya kali ambayo anataka kufanya ‘surprise’ kwa mashabiki wake katika industry ya muziki wa Bongo.

Lord eyez alituhumiwa na msanii mwenzake Ommy Dimpoz kuwa alishirikiana na wenzake kumuibia vifaa vya gari lake na tuhuma hizo nzito ambazo ni pigo kwa kundi la weusi kiujumla zilipelekea Lord Eyez kukamatwa na kunatwa na jeshi la polisi kwa siku kadhaa na baadae kufunguliwa kesi mahakamani ambapo alipewa dhamana. 

USHAURI: Tusipende kumuhukumu mtu kabla PILATO hajatoa hukumu yake! Kama haujui jambo lolote linaloendelea kuhusiana na kitu chochote chini ya JUA! you better shut ya f***kup..  

NJEMBA LATAKA KUKWARA TOTO LA SHILOLE!!..

Facts ni kwamba wanaume wengi hushindwa kudai mimba na badala yake wanadai makidi wakishakuwa, tori hiyo inademekana etiii inamtokea msanii maarufu wa filamu na muziki wa kunyonga na kushow naniinooo jukwaanii mamaaaa Shilole, ambapo mwanaume aliyezaa naye mkidi wake ameaanza kudai kutaka kumpeperusha mkidihuyo bila sababu zozote za msingi.



 Mhyetishaji mmoko alibnga akidai kuwa msanii huyo amekuwa akisumbuliwa na jamaa huyo ambaye ndiye inayedaiwa kuwa mshua wa mkidi, anamtaka mwanaye lakini mamaaa Shilole amekuwa mgumu kumchomoa mkidi huyo kwa madai kuwa yeye ndiye aliyemlea na kumpatia kila kilichoitwa cha mkidi hadi leo ambapo sasa yupo skonga anasamuka na mabuku kama kawaida.

“Ishu ipo hivyo na Shilole mwenyewe hataki mwanae aondoke kwa kuwa amemlea tangu akiwa mdogo na anamsomesha na hana shida yoyote juu ya mwanaye.” kilisema kinyetishaji chetu.

Kwa ushirikiano mkubwa na DarTalk Mtonyaji wa tory  alimtafuta Shilole mama la matashtiti  ili naye aweze kujimwaga juu ya ishu hiyo, ambapo alidai kuwa ishu hiyo ipo lakini kwa sasa bado anaendelea na maisha yake lakini mwanaye hawezi kwenda popote kwani matumizi yote ya mtoto hakuna anayempa zaidi ya juhudi zake mwenyewe. mh! babaaaa unalooooo!!... kudadadeki! Ukisogelea una nyundo kadhaa za jela kwa pilato zinakuhusu!! unawajua Ustawi wa Jamii!! hahahahahahaaaaaaa


Tuhuma za Genevieve Mpangala MISS Tanzania 2010 zinaweza kuwa za KWELI!!

lundenga akiwa ofisini kwake na miss tanzania Genevieve mpangala
MISS Tanza 2010, Genevieve Mpangala,  amechafuliwa ndani ya mtandao mmoja na watu wanaodaiwa ni wabaya wake, kwa mujibu la gazeti moja pendwa limenasishwa hivyo.
 Kwa mujibu wa mtu wa karibu na mrembo huyo mwenye maadili, Oct 24, mwaka huu, watu hao waliingiza picha kwenye mtandao mmoja na kusema mlimbwende huyo kwa sasa ameamua ‘kujiuza’.

Habari zikaenda mbele zaidi kwa wanajmii hao kuweka namba ya simu ya mkononi ya Genevieve wakieleza kuwa kwa anayemtaka awasiliane naye.
Picha hizo ambazo watu hao wanadai ni za Genevieve zinamuonesha akiwa amesimama, lakini zikachomekwa na nyingine za kutengeneza ambazo eti ni miss huyo akiwa mtupu!
Novemba 6, mwaka huu, paparazi wetu alimtwangia simu kinara huyo wa Bongo mwaka 2010 na kumuuliza ukweli wa picha hizo.
“Ninasikitika sana kwa kashfa hii niliyotengenezewa bila mimi kujua, mtu ametumia picha zangu na nyingine za kuungaunga na namba yangu ya simu katika mtandao akidai eti ni mimi najiuza, jambo ambalo si kweli.
“Katika hali ya kawaida jamani miss kama mimi tena niliyewahi kushika taji la juu naweza kuweka picha na namba zangu za simu na kusema natafuta mabwana? Ukiachilia mbali malezi niliyonayo, hata maadili ya Kitanzania hayaruhusu uchafu huo.
“Picha moja niliyosimama nilipigwa na kaka yangu mjini Morogoro ambako tulikwenda kwenye Miss Morogoro na pale ni hotelini nilikofikia,” alisema mrembo huyo.
Baadhi ya mitandao ya kijamii imeingia lawamani ikidaiwa kutumika vibaya na watumiaji wake. Inadaiwa kuna watu wanatengeneza picha chafu za watu maarufu na kudai ni zao halisia kitendo ambacho si cha kweli. 

 Inasemekana lakini, so inaweza ikawa kweli pia kwa kuwa hata ukiangalia mazingira ya chumba! Shuka pamoja na nguo alizokuwa amevaa zikifuatiliwa ni za kwake. Tunahitaji maelezoya kina zaidi!
Baadhi ya picha zilizotumiwa.

Siku 21 tu Baada ya Kuolewa Aunt Ezekiel AFUMANIWA..


Mh! mara nyingine huwa najiuliza hawa wanojitia kitanzi na kushauriana na nyonyo zao kufunga jikufuli la maisha kwa wale wanaokukuruka nao vitandani! je ni Tamaa ya kummiliki yule mwanaume kwa kuwa anapesa sana au yule mwanamke kwa kuwa ni star na anapesa kiasi chake au kwa kuwa mwanadafada anatukunyuka vema Kitandani? Yote yanawezekana! Naropoka koz haina raha na faida kumuoa mwanamke uliyempenda kwa dhati ukamuoa na kumkabidhi moyo wako! OMUTIMA WAKO, ukamuita mke wangu akakuita mume wangu kwa kuunganishwa na pete za dhahabu katika vidole vyenu vya kushoto kwa ishara kuwa mmepatana, Baaaada ya siku kadhaaaaafrom NO where anatoka mke wako mwenye pete ya DHAHABU mkononi kidole cha pili baada ya kidogo analala/anaenda kuto***/anatukunyuka na mwanaume mwingine tena akiwa na pete yake mkononi!..
    Haya hii ya Aunt nitaifuatilia kwa ukaribu tu baada ya wenzetu kuanza nayo!!
                                 Shukrani kwa gazeti la ijumaa..

BONGO STAR 2012 IS WALTER!


RIHANNA ANASWA AKITUKUNYUKA...


ON BED!..
There’s a rumor spreading like crazy, that a Rihanna Sex Tape was leaked by kikundi kinachoitwa L3aKwArE ! We’ve been reading the Rihanna sex tape rumors for months, and it looks like the reported tape may exist after all! The video is supposed to have a length of about 15 minutes and is showing Rihanna having sex with an unknown man. Is it real?! The group claims it is authentic and they are in the final phase of putting it online. Once we have the link, we will let you know

UMATI WA MASHUHUDA WA WANAJAMII WALIOGANDANA WAKIHONDOMOLA!!


 Wanajamii wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, ndani ya jiji la maraha jiji la Dar es Salaam wenginie wakiliita DASLAM, wakiwa na hamu ya kutaka kudondosha macho yao juu ya mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mambo yetu yaleeeee ya kikubwa hahahahaha wajua wapi?  katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 


  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo

  FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke

                                                     Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao


Picha na MPEKUZI

WANAJAMII WANATANA WAKIHONDOMOLA NA KUVUNJA AMRI YA SITA.


MANEKY AFUNGUKA KUHUSU BEAT ZA KULEWA - DISMOND NA AMEKUWA - PASHA ft TUNDA MAN

MANEKY PRODUCER WA AM RECORDS
Wakati wimbo wa Diamond ‘nataka kulewa’ ukitengeneza topic kwenye media kibao TZ na kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo wengi wanasema beat hiyo inafanana asilimia 100 na ile ya beat ya wimbo wa Pasha alomshirikisha Tunda Man ‘Mtoto Amekua’, Manecky wa AM records ambaye ndiye aliyetengeneza ‘nataka kulewa’ amesema beat ya wimbo huo ni tofauti kabisa na ile ya wimbo wa Pasha.
Producer huyo ambae ndiye mshindi wa kili music awards 2011 kama producer bora wa mwaka alifunguka kwa msisitizo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds fm kuwa hakusample beat sehemu yeyote ile na hiyo beat aliifanya kwa mawazo yake mwenyewe kuanzia mwanzo kabisa.
Alipoulizwa maoni yake kama beat hizo mbili zinafanana au hazifanani, alisema “kwa kitu ambacho mimi nimeweza kusikiliza hizi ni beat mbili tofauti, sema kuna idea ya lead sound ambayo inaweza kuwa na mfanano flani, ndio maana nikarudia kusema palepale, mimi ni mtu ambae nasikiliza muziki kila siku, na ni binadamu na sio computer sio kitu flani ambacho kinasema ni kitu flani kifanye hivi…!”
Manecky amesema hata Tunda Man aliisikiliza ‘beat ya Nataka kulewa’ mara nyingi tu lakini hakuweza kuifananisha kabisa na ile ya wimbo wa Pasha ambayo yeye mwenyewe kaweka vocal zake kwenye, lakini inaonekana alipousikia watu wanasema zinafanana ndipo na yeye akashtukia kuwa inawezekana iko hivyo..
Kweli tunatofautiana kushtukia copy, wengine wakisikia hata kinanda cha kwanza tu wanashtukia ila Tunda Man yeye ameshtuka baadae sana pamoja na kuitumia beat hiyo.
Cover matata iliyotengenezwa chini ya mikono ya wanaojua kazi zao! I-View Studios chini ya Mkubwa RAQEY MOHAMED bwana MENEJA.
 Wimbo wa Diamond umepata challenge kubwa sana tangu au-release rasmi, muda mchache baada ya kuonekana beat inafanana na ya wimbo wa Pasha ft. Tunda Man ‘nataka kulewa’, H-Baba alijitokeza na kumtuhumu Diamond kwa kumuibia idea ya wimbo huo tena kwa makusudi huku akiweka hadharani vielelezo vya demo ya wimbo wake ‘nataka kulewa’ akiwa na Q-Chillah.

Ushauri! Ni bora kuziachia ngoma zote on air ili wanajamii tuweze kuzihukumu wenyewe! haitasaidia tuking'ang'ania kuwa DIAMOND ameiba wimbo mara ameiba Beat! aaaaaa hayo ni maneno ya uoga tena ni uoga wa hali ya juu! wasanii acheni hofu achieni nyimbo zenu! ili tuzichanganue.. ni hayo tu! ninyi nyote ni STARZ ilaaaaa....

MILA ZA KURITHIWA KWA WAJANE BADO ZIPO BONGO!..



Baada ya kumaliza msiba wa mume wangu, wanandugu wa familia yangu na upande wa marehemu mume wangu walikutana. Hiki kilikuwa kikao ambacho sitakisahau katika maisha yangu. Mengi nilisikia kabla, na hata marehemu mume wangu akiwa hai alijaribu kuniambia kuwa jamii zao zina utaratibu huo. Muda huo tulikuwa tukiongea kiutani, na hatukujua kuwa ipo siku mimi na yeye tutaachana.

‘Wanandugu wenzangu, msiba umeisha, ingawaje majonzi hayataisha kamwe, lakini tutafanyaje, muumba ndiye aliyetuumba, na ndiye anayetupa uhai, siku ikifika huna jinsi. Sisi tuliobakia ni marehemu watarajiwa, kwahiyo cha muhimu nikuombeana heri, na kuwaombea waliotangulia walale mahala pema peponi…’ Huyu alikuwa msemaji mkuu wa familia.

Mzee huyu nilimuogopa sana, huwa alikuwa akitutembelea mara kwa mara, na akiona tunaishi kinyume na taratibu za familia zao, anakuja juu na kukemea, alikuwa hataki utani, hata marehemu mume wangu alikuwa akimheshimu sana. Mzee wa mila na desturi!

‘Taratibu za kifamilia zipo pale pale, hatuna jinsi ya kuzikwepa, na mtu anapofariki tunajua nini kifanyike. Labda kwa kuelezea zaidi ni kuwa marehemu kaacha mke na watoto. Mali kwetu sio muhimu sana, kwani tunajua kuwa mali ni mali za familia yote, ndio maana tunashirikiana kifamilia.

‘Lakini tujue kuwa mali zinatakiwa kutunzwa, na mitihani kama hii ikitokea mali zinaweza kufujwa na hata kutoka nje ya familia, na hili kwetu miaka nenda rudi tumekuwa tukililinda. Watoto watakosa matunzo bora yanayoendana na mila na desturi zetu, lazima tuwe makini kwa hili. Na kwa hiyo basi, ili mali, mke na watoto wasipotee, wasitoke nje ya familia yetu , tumekuwa na taratibi nzuri kabisa. Taratibu ya kuhakikisha kuwa mjane anakuwa mikononi mwetu, na watoto wanaendelea kuwa na baba ndani ya familia….’ Akatulia na kuniangalia.

‘Kwahiyo mwana wetu mpendwa, usiwe na wasiwasi kabisa, maisha yako yataendelea vyema, na hutapata taabu kabisa, mali , watoto na wewe mtakuwa salama kabisa. Labda nikuulize, mliwahi kuongea lolote wewe na mume wako, kuwa ikitokea kitu kama hichi, wewe utapenda kuwa katika ulinzi wa nani …’ akanikaia macho

‘Ulinzi wa nani, baba naomba ufafanuzi kidogo, kwani ulinzi mkuu ni kumtegemea mungu, na sidhani kuwa ninahitaji mtu , kwani niliyemtegemea zaidi kaondoka, na sidhani kama nahitaji mtu mwingine katika umri wangu huu, mimi na watoto wangu inatosha…’ nikasema kwa majonzi na kuanza kulia.

‘Sawa tumekuelewa, na hilo tunalijua kwa mtu yoyote, inatokea hivyo kwa muda, lakini binadamu, tumepewa kitu Fulani, kusahau, na ni swala la muda tu utasahau kabisa, itafika siku, hutamkumbuka kabisa marehemu…hii lipo, na sisi kama wanafamilia tuna uchungu mkubwa zaidi sana, kwanii huyo aliyeondoka ni mwanetu, hatuwezi kupata mtoto kama yeye, labda mwingine kwa namna nyingine, lakini sio kama yeye. Wewe kama mke utakutana na jamaa ukampenda, na hata zaidi ya ulivyopendana na marehemu, hii lipo, na ni ubinadamu..’ akaniangalia kwa makini.

‘Sisi katika familia yetu tuna utaratibu, kuwa mke akifiwa, anakuwa chini ya ulinzi wa ndugu wa marehemu, kwa jina jingine unarithiwa. Hili wanalipinga sana watu wengi, lakini sisi tumelitekeleza vizuri miaka nenda rudi na limeleta manufaa makubwa, ndio maana unaiona familia hii ni tajiri, kwani utajiri wetu hautoki nje. Sasa wewe uliolewa ndani ya familia hii, na ukakubali yote, na hili huna budi ulikubali. Unawaona wanaume wote hawa, waliokaa mbele yako, wengine wana wake wengine hawana wake, unachotakiwa ni kumchagua mmoja wao na muongee naye, na akikubali basi utakuwa mke halali wa huyo ndugu, ama uwe mke wa pili kwake, au watatu au wa kwanza,…hilo halina mjadala mrefu…’

Nilishikwa na kigugumizi. Sikuamini masikio yangu, nilitamanai mume wangu arudi nimuambie kuwa mbona haya hukunielewesha zaidi, mimi nilidhani ulikuwa utani. Nililia, na kulia, lakini hakuna aliyenionea Huruma, wao walikazania utamaduni wao huohuo ndani ya familia yao.

Mimi ni mwalimu, na kuelimisha ni jadi yangu, nilijaribu kuwaelimisha ubaya wa hili jambo, lakini nilikuwa kama mtoto anayemfundisha mzazi wake kupika, wakati yeye kila siku anapikiwa na mzazi wake huyo.

‘Uamuzi ni ndio huo, mawili, ukubaliane kukubali haya, au kama hutaki, basi umaikana familia na hatuna jinsi, tutakupa kilicho chako, na kutuachia watoto wetu, ambao wana haki zaidi katika mali zetu…narudia tena, mali zetu, kwani mali zote unazoona hapa zimetokana na ushirikiano wa familia, wewe mwenyewe umeliona hili….’ Aliendelea kuelezea mengi, lakini akili yangu haikuwepo tena ndani ya kikao hicho.

Jamii iwajibike kuwasaidia watoto wa mitaani, yatima

KITANDA usichokilalia, huwezi kujua kunguni wake, shida na mateso wanayopata watoto waishio katika mazingira hatarishi na wale wa mitaani ni vigumu kuelezea.

Watoto hawa hawajui leo au kesho watakula nini, hakuna anayehangaika kuwatafutia chakula, wanapolala na njaa hakuna wa kumlilia na wakiumwa hakuna wa kumweleza hivyo huendelea na maisha yao hadi wanapopata nafuu au kupona kabisa.

Ukweli ni kwamba, watoto hawa hujisikia wapweke kutokana na jamii kubwa kuwakataa na kuwaweka katika fungu tofauti.


Jambo la kusikitisha, idadi kubwa ya watoto, umri wao unaanzia miaka mwili hadi 10 ambao kimsingi hawajui kujitegemea, njaa ikiuma wanalia tu na kushindwa kujieleza.

Kitanda chao ni barabarani na wengine mitaroni, baridi yote ya usiku na jua la mchana ni lao, hawajui kubadilisha nguo, zile walizovaa wiki iliyopita hadi leo hazijatoka mwilini.

Tumezoe kuwaona watoto wenye wazazi wakitoka nyumbani asubuhi na kurudi majumbani mwao jioni. Watoto yatima na waishio katika mazingira hatarishi hawana pa kwenda, popote wanalala.

Jamii imesahau kuwa watoto hawa ni sawa na wao, wanasikia njaa, baridi na maumivu sawa na wenzao lakini nani anashughulika nao?

Sisi tunasema kuwa, watoto hawa hawakuchagua kuwa yatima na kuishi mitaani, hawakuchagua kufiwa na wazazi wao, wamejikuta  wapo mitaani na hawana la kufanya kama watoto wetu walivyojikuta wakiwa mikononi mwetu na wanapata kila kitu. 

Waswahili wanasema, kinga ni bora kuliko tiba. Mashirika yasiyo ya kiserikali NGOs na yale ya kimataifa kama UNICEF na Serikali, wanashughulikia tatizo la watoto hawa wakiwa tayari mitaani. 

Jambo la msingi, nguvu inayotumika kuwasaidia watoto hawa ingepaswa kuelekezwa kwenye kinga ili kutibu tatizo hilo kabisa. Sababu moja wapo inayochangia ongezeko la yatima na watoto waishio mazingira hatarishi ni migogoro isiyokwisha katika ndoa.

Hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza au kumaliza tatizo la watoto wa mitaani na yatima kwa kuwaunganisha na walezi pamoja na ndugu zao ambao tunaamini wapo.

Umefika wakati wa Serikali kuratibu nguvu za NGOs kwa kuhakikisha mashirika hayo, jamii na wao wenyewe wanachukua hatua stahiki kuhakikisha tatizo hilo nchini linakwisha.

Ni furahi DAY kwa wanajamii wa MAREKANI tena.

    


  MGOMBEA wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Barack Obama tayari ameshinda uchaguzi huo. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka vyanzo vyake nchini Marekani Obama ameshinda katika majimbo 281 kiwango ambacho mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican hawezi kukifikia tena kwa sasa.
Ingawa idadi fulani ya kura bado inahesabiwa mshindi katika kiti hicho inatakiwa angalau ashinde katika majimbo 270, kiwango ambacho Obama kwa sasa amekivuka hadi muda huu.
Romney hadi sasa ameambulia ushindi wa kura za majimbo 203 tu. Kikawaida ili mgombea aweze kushinda uchaguzi wa Marekani, mgombea anahitaji kupata angalau kura 270 katika majimbo.

Jamii imetakiwa kutowanyima watoto haki zao

SOCIETY imetakiwa kuzielewa na kuzithamini haki mbalimbali zinazohusiana na kutakikana kwa watoto ikiwa ni lengo la kumwezesha mtoto katika kufanikisha malengo ya millenia kwa mwaka 2015
Hayo yalisemwa leo na afisa Maendeleo ya jamii Manispaa ya Musoma Janeth Mafipa alipokuwa akifungua warsha juu ya haki za watoto iliyofanyika katika ukumbi wa Dayosisi ya Anglikana Mjini Musoma.
Alisema ni jukumu la jamii katika kuwapa watoto haki zao za msingi ambazo zimeainishwa sehemu mbalimbali zikiwemo Sheria na miongozo ikiwa ni lengo la kuiandaa jamii yenye maadili na makuzi yalio bora kama ambavyo jamii nyingine inahitaji.
Janeth alisema jamii haiwezi kuendelea kama itapuuza haki za watoto ambazo wanazihitaji na kutamkwa katika matamko hivyo ni vyema jamii na taasisi mbalimbali za Serikali na watu binafsi wakaziheshimu haki za watoto na kuzitekeleza ipasavyo bila kumuathiri mtoto.
Katika warsha hiyo ambayo inawakutanisha wadau mbalimbali kutoka Mkoani Mara pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali inalenga kuikumbusha jamii juu ya kuheshimu na kuzilinda haki za watoto kama njia ya kuzitambua sheria mbalimbali za kimataifa ambazo nchi imeridhia.
Alisema kuwa jamii ya sasa imekuwa haiwajibiki ipasavyo katika kuzitekeleza haki hizo na kupelekea kuibuka kwa watoto wa mitaani na kukosa malezi yalio bora na hivyo kupotezaa haki za watoto za msingi wanazohitaji.
Mratibu wa Umoja wa Maendeleo ya Bukwaya (UMABU) ambao ndio waandaaji wa warsha hiyo Bulunde Ndago alisema kuwa madhumuni ya warsha hiyo ni kupitia majadiliano na kuelimisha mana ya haki za watoto kwa wadau wa Maendeleo ya mtoto ili kurahisisha utendaji wa shughuli zao za kuwaendeleza watoto.
Alisema warsha hiyo ya siku tatu imeandaliwa na Shirika la UMABU ambalo linafadhiliwa na Shirika la Terre-Des Hommes kutoka nchini Uholanzi linajishughulisha katika masuala ya elimu,maji na afya katika vijiji 15 Mkoani Mara.
Mbali na hivyo pia UMABU inajishughulisha na shughuli za uzalishaji mali,utunzaji wa mazingira,masuala ya vvu/ukimwi katika eneo la Bukwaya katika Halmashauri ya Musoma Vijijini na kwa sasa inao mpango wa kutoa huduma zake katika Mkoa mzima wa Mara Mara.