Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

NJEMBA LATAKA KUKWARA TOTO LA SHILOLE!!..

Facts ni kwamba wanaume wengi hushindwa kudai mimba na badala yake wanadai makidi wakishakuwa, tori hiyo inademekana etiii inamtokea msanii maarufu wa filamu na muziki wa kunyonga na kushow naniinooo jukwaanii mamaaaa Shilole, ambapo mwanaume aliyezaa naye mkidi wake ameaanza kudai kutaka kumpeperusha mkidihuyo bila sababu zozote za msingi.



 Mhyetishaji mmoko alibnga akidai kuwa msanii huyo amekuwa akisumbuliwa na jamaa huyo ambaye ndiye inayedaiwa kuwa mshua wa mkidi, anamtaka mwanaye lakini mamaaa Shilole amekuwa mgumu kumchomoa mkidi huyo kwa madai kuwa yeye ndiye aliyemlea na kumpatia kila kilichoitwa cha mkidi hadi leo ambapo sasa yupo skonga anasamuka na mabuku kama kawaida.

“Ishu ipo hivyo na Shilole mwenyewe hataki mwanae aondoke kwa kuwa amemlea tangu akiwa mdogo na anamsomesha na hana shida yoyote juu ya mwanaye.” kilisema kinyetishaji chetu.

Kwa ushirikiano mkubwa na DarTalk Mtonyaji wa tory  alimtafuta Shilole mama la matashtiti  ili naye aweze kujimwaga juu ya ishu hiyo, ambapo alidai kuwa ishu hiyo ipo lakini kwa sasa bado anaendelea na maisha yake lakini mwanaye hawezi kwenda popote kwani matumizi yote ya mtoto hakuna anayempa zaidi ya juhudi zake mwenyewe. mh! babaaaa unalooooo!!... kudadadeki! Ukisogelea una nyundo kadhaa za jela kwa pilato zinakuhusu!! unawajua Ustawi wa Jamii!! hahahahahahaaaaaaa


0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!