Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

B’HITZ yaonesha Studio nyingine na kionjo cha Project ya kundi jipya ‘DISTRICT 9′

B’hitz inaendelea kutanua matawi kwa kuwa na studio kadhaa zinazorahisisha utendaji wa kazi kutoa muziki mzuri kama kawaida.studio_full
Ukiacha studio zilizopo Kawe Beach, CEO wa B’Hitz ameshare picha ya studio nyingine matawi na kueleza kuwa zipo nyingine nyingi ambazo anashindwa azipe namba gani.
“Another B’hitz Studio….These Toys Make Me Happy….sasa sijui hii itakua B’hitz number ngapi…. @skywalkertz @chokadj @nchakalih @timesfmtz …nipeni number au jina basi coz kuna ingine tena inakuja#BhitzLife.” Ameandika Hermy B Instagram
Katika hatua nyingine, Hermy ameshare video fupi inayoonesha jinsi anavyoendelea na kazi ya kundi jipya la ‘District 9’ wanalotarajia kulizindua hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!