Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

BARNABA KWA MARA YA KWANZA AJA NA HILI

bb 4Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa msanii Barnaba 


” Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali

kuwa Video Qeen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya bangoooooo.



0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!