Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

Rihanna play a part to hurt Chris Brown


Katika kile kinachoonekana kuwa ni moja ya mbinu ama njia za kumuumiza Chris Brown ambaye kwa sasa ex-boyfriend wake, Rihanna safari hii ameamua kuvuka mipaka na kuachia mtandaoni video ambayo inamuonyesha akikatika vilivyo katika ngoma maarufu ya Fu**** Problem ya A$ap Rocky akiwa ameshirikiana na Kendrick Lamaar pamoja na Drake.
       Hatari zaidi kutoka katika clip hii, Kipande alichoachia kinamuonyesha aki-dance katika sehemu ya verse ya Drake ndani ya wimbo huu - Star ambaye ni hasimu mkubwa sana wa Chris Brown, chanzo cha uhasimu wao kikiwa ni mapenzi ya huyu huyu Rihanna.
      Kwa sasa inasubiriwa kuona Chris ata-react vipi katika hili ama ni kitu gani kingine mmojawapo kati yao atafanya, ili kurudisha ama kuharibu zaidi mahusiano yao

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!