“Nilipokuwa
shule nilijitenga na sanaa sasa nimerudi watasubiri kwa upande wa
wasanii wa kike wanaigiza kwa kiwango cha chini, au kwa kutopewa nafasi
wanazomudu kuna watu wanajua mimi na Lulu ni mapacha lakini kwa filamu
niliyoifanya hivi karibuni ya Kigodoro shoga yangu atasubiri,”anasema
Diana.
Diana ambaye mara nyingi ushirikiana na Lulu kataika filamu kwenye uigizaji sasa anasema ameamua kusimama yeye kama yeye na anawahakikishia kuwa wapenzi wa filamu kuwa wasubiri filamu inayokuja ya ‘Kigodoro Kanitangaze’ambayo kaigiza kama mhusika akitamba kuwa yeye ni kiboko yao rika lake lote anawafunika.

0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!