Baada ya Kanye West kuidiss “Suit & Tie’ ya Justine Timberlake na Jay Z
mwanzoni mwa mwaka huu kitu ambacho kilimfanya Timberlake nae kumjibu, mengi
yalizungumzwa ikiwemo kutokuwepo kwa uhusiano mzuri kati ya J na Kanye lakini
kumbe sio, wameonekana pamoja tena wakiwa na furaha muda mfupi baada ya Kanye
West kuonekana akifanya shopping ya mama mtoto wake Kim K.
.
.
picha zote kutoka necolebitchie.com
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!