Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

WAWILI WAPOTEZA MAISHA TEGETA

 Roli aina ya SCANIA lililokuwa limebeba mchanga, limeacha njia na kuingia kwenye kwenye Bar moja ijulikanayo kama KMM maeneo ya Tegeta Kibaoni jijini Dar es salaam. Ajali hiyo mtu mmoja amefariki hapohapo na wengine wawili majeruhi.
Mabaki ya vifaa mbalimbali vilivyoharibiwa kwenye bar hiyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo maeneo ya Tegeta.
Jeshi la polisi likiimarisha ulinzi katika ajali hiyo iliyotokea maeneo ya Tegeta Kibaoni

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!