MWANAMUZIKI
LINAH WA TANZANIA NA “AJ UBAO” AISHIE MAREKANI WATAZINDUA VIDEO YA
WIMBO WAO MPYA WALIYOUTENGENEZEA WASHINGTON DC SAMBAMBA JUMAPILI HII
USIKU WA TAREHE 24/6 NDANI YA “MAISHA CLUB” DAR ES SALAAM NA ” LUX
LOUNGE” WASHINGTON DC, KUANZIA SAA 3 USIKU, NA PIA UTAWEZA KUIONA
ONLINE/YOU TUBE KUANZIA JUMATATU TAR 25/6 ASUBUHI.
VIDEO HIYO INAITWA “ALL I NEED” IMETENGENEZWA NA KAMPUNI YA “DMK GLOBAL
PROMOTIONS” YA MAREKANI CHINI YA DIRECTOR DICKSON MKAMA a.k.a “DMK”
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!