Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

....TMK WANAUME FAMILY NA HALISI....NDANI YA MOVIE?!



Baada ya kipindi kitambo kirefu kishkaji!! Now Ladies and Gentomen yale makundi mabee yaliyohasiana ya miondoko ya kizazi kipya (HIP HOP) toka pande za Temeke,TMK Wanaume Family na TMK Wanaume Halisi wanatarajiwa kutoa movie la pamoko

Movie hilo linatarajiwa kuwaunganisha mahasimu hao,ambao awali walikuwa kundi moko na kufanya kazi kadhaa wakiongozwa na Menyema wao Said Fella ambaye kwa sasa anasimamia kundi la TMK Wanaume Family

Kwa sasa Maandalizi ya filamu hiyo yanaendelea ambapo wanakamilisha hatua ya kuandaa mwongozo ama skiript utakaochukua wiki mbili hadi kukamilika kwake,na lengo la kuandaa filamu hiyo ni kuelezea historia ya wanamuziki wa kundi hilo,toka walikotoka katika safari yao ya muziki hadi walipofikia sasa

Wanamuziki wote wa makundi hayo watashiriki bila kubagua pia shughuli za kuunganisha miziki iliyokwisharekodiwa awali na studio hiyo inatengenezwa kwa ajili ya kuingizwa katika filamu hiyo kama soundtrack.Teh! teh! teh! bifu poa sana hili! I like That!

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!