Muda mdupi baada ya mwigizaji
Wema Abraham mjukuu wa Sepetu kuonyesha nyumba yake mpya ya milioni 400 kwenye kipindi cha
Take One Clouds Tv baadhi ya wabongo walianza kutoa maoni kwamba hiyo
nyumba sio ya Wema, haiwezekani akamiliki nyumba ya namna hiyo.
Haikuishia hapo tu, hata baadhi
ya magazeti yaliandika kwamba mmiliki wa hiyo nyumba sio Wema ni
mama mmoja ambae ni mmiliki wa hospitali moja Dar es salaam. story!Sasa tuelewe kipi mara ni jamaa momja mwenye asili ya Kiarabu aliyekuwa kwenye safari zake za kibiashara nchini Brazil mara Dr. Yu know this kama haufahamu kitu bana ni bora ukanyuti kimya tu, till yu get enough!! i mean enoughstory mazee! Mavuvuzela! baado haikuishia pande hizo tu tuendeleee...
Lawama za wachache pia zilitolewa kwa Zamaradi Mketema mtangazaji wa kipindi cha Take one na Leo tena kupitia segment ya Movie leo, kwamba ameitoa hiyo stori huku akijua sio kweli inamilikiwa na Wema.
Kwenye sentensi nyingine
Zamaradi amesema “kwenye show ya Take One ndani ya wiki mbili zijazo
Wema amekubali kwamba atautoa uthibitisho kuonyesha kwamba ni mmiliki
halali wa hiyo nyumba japo siwezi kuutaja ni uthibitisho gani” Sasa turudi kwa topic, Kama Wema alisema yeye ni mmiliki wa hiyo nyumba inawezekana akwa ndiye mmiliki kwa kuwa si kalipiaaaaa! so! tusikurupuke!
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!