Muuza maneno na nyago wa Kituo cha Televisheni cha Dar TV, Peniela
Mwingilwa almaaaruffffffffff kwa jina la ‘Penny’, ambaye ni mupenzi wa mkali wa ladha za Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond’ amesema yupo tayari kuchangia mapendeko na msichana mwingine yeyote
ambaye atachukuliwa na mwanaume huyo anayemuhanda.
Penny, chaguo la mama mzazi wa staa huyo wa kibao cha My
Number One, amesema maneno hayo, yanayotafsiriwa kama
yupo tayari kuchangia mapenzi na hasimu wake, Wema Sepetu wa Sepetire ambaye amerejesha
mahusiano yake ya kimapenzi na mwimbaji huyo mpenda vidosho. masister duuuuu!! mpenda chini! “Ninampenda
Diamond na sitaki kumpoteza. Nia yangu ni kumuona akiwa na furaha.
Kama Diamond anaona kuna msichana mwingine wa kutoka naye
na kwake hilo
linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na furaha,
nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema
wamerejesha uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya
kijamii zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko
Ughaibuni.Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za karibuni
amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka
2006.
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!