Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

HAWA WANAWAKE WAMUUMIZA JB KICHWA BONGO MOVIE!



HIVI karibuni kumekuwa na ubishani kwa mashabiki wa filamu dhidi ya mwanadada ''Nisha Bebee'' na ''Odama'' kuhusu mauzo ya kazi zao Sokoni sasa imegeukia kwa Kinara wa filamu Tanzania JB, Tetesi zimezuka kwamba sokoni JB ajipange kwani Nisha anakuja kwa kasi ya ajabu..! Kitu ambacho baadhi ya mashabiki wa filamu Tanzania wamekuwa wakibishana sana Dar Es Salaam na hata mikoani. masainyotambofu.com ilijaribu kufanya uchunguzi wa kina baada ya kukutana na watu kadhaa na kufanya mahojiano mafupi ndipo ilipoibua tetesi hizi zilizovuma kwa njia ya minong'ono ya chini kwa chini na kuziweka hadharani.

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!