1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na
wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa
mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate
wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu
diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa
95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana
kuolewa, kwa nini?
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!