Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

LORD EYES AMLIZA OMMY DIMPOZ

Kinara na mjafanja mkali wa ngoma ya Nai Nai na mfuniko mmoko wa aina hiyo hiyo ngoma inayokwenda kwa jina moko tu la "Baadaye" tukianza kuwazungumzia wasanii wanofanya vema kunako gemu hii ya mziki kiukweli msanii huyu anafanya vizuri katika kazi zake, koz anaimbia njaa na huwa yupo makini mara zote anapofanya selection. Saaaaaaasa ngoja nikuhabarishe machache kuhusiana na yeye habari ambayo kiukweli si nzuri hata kama wewe ni mshabiki wa muziki ni kwamba siku ya jana bhana mida fulani ya mchana mtu mzima Ommy Dimpoz alifunguka na kusamba baadhi za  picha ambazo alifanyiwa unyama katika ndinga lake kwa kuibiwa spea mbalimbali zinazopatikana katika gari lake na msanii huyu aliyehusika na unyama huo ni mbaba mkali wa HIP HOP mjafanya wa CHUGA kiongozi wa kundi zima la NAKO 2 NAKO Soldiers Lord eyez
 
Huu ndiyo ushahidi ambao unaonyesha kwamba mtu mzima Lord eyez amehusika



 Hicho ndicho alichokiandika Ommy Dimpoz baada ya kuibiwa na msanii mwenzake
 

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!