Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

EVEN IF KUNA MMILIKI WA JUMBA LA WEMA ITS UNDER HER OWN HAND NOW!

Day chache baada ya wanadafada mlimbwende wa Tanzania mwenye mikogo na skillz za kumake people to pay attention nyingi sana kwa pande zake,  ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu mjukuu wa Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye viranga wenye kujua kuongea wajitokeza na kuchonga na Teentz.com mapema, Kiranga mmoja kati ya walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amechonga kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake. So whats up people? Haina haja ya kumbebea bango mjukuu wa sepetu kwa hilo kwani its normal things mazee, tutazamena kubebea bango Chakula kinapanda kila siku katika nchi maskini kama hii na bado tunatazama tu! what can we do? Je tuzame Ikulu kueleza matatizo yetu? huu sio muda wakuangalia Wema kafanya nini! Huu ni muda wa kutazama Wabunge wanafanya nini kwa ajili yetu!! Sio kila siku Wema,Wema, Wema!! Hata kama kamiliki yeye, si kalitolea mahela kwani anakaa freee!!... Acheni hizo! Chochote unachokilipia pesa yako hicho ni chako. Eti njemba kaibuka na kuchonga, 
“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brail  kibiashara” kilichonga chanzo hicho. Sasa naanza kuamini kuwa Mpambe hulia kuliko Mfiwa! Jamaa ajaongea na ndo yanayomuhusu huyu yanasiyomuhusu anachonga hivi na ni jamaaa tu! je angekua ndo baba au bro. lets ferget huko kote je angekua mmiliki wa huo mjengooo ingekuaje!!...

0 comments:

Post a Comment

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!