Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa
mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada
Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video
ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye
na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu.
http://www.youtube.com/watch?v=UfMxRl_4CwE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!