Subscribe:

Ads 468x60px

Labels

NIMETUMIWA SANA NA WANAUME WENGI PASIPO MALIPO.



Mdafada Aunt Lulu mwenye umbo la kuvutia wanaume wengi wenye tamaa na uchu wa mapendeko ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga Bongo C2C amenukuliwa katika kirusha matangazo kimoko bongo katika moja  ya Interview aliyofanya na chombo hicho cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata faida.
Kauli ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa anakuwa amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao.
 Baada ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi wa Habari aliyesomea vijielimu vyake pale shule ya uandishi wa habari Dar (DSJ) Ilala, aliyewahi kuwa maarufu baada ya kutoka na kachaa Juma Kassim Nature na kujikuta akiimbiwa wimbo wa kumkashifu kupitia wimbo wa Inaniuma sana SISISISISISISINTA! kupitia Mitandao ya kijamii mdada Sinta amefunguka na kumtolea uvivu msanii huyo anayejinadi kuwa ameliwa uroda kwa miaka mingi pasipo kupata malipo yoyote.
“Hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi”
ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake”
yaani nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God  forbid” (Quatation Source Sinta)

1 comments:

Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!