Hii Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya
Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza
au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V
Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
Kukinga wengine baada ya kujua afya yako
pia ni muhimu.
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!