Siku hizi Tanzania kumekua na mambo meeeengi yanayozushwa au
kuanzia kwenye mitandao ya kijamii sanasana facebook na twitter ambapo
miongoni mwa makubwa ya wiki hii ni stori kwamba mwimbaji wa Bongofleva
Ally Kiba amekamatwa na polisi wa Amsterdam kwa tuhuma mbalimbali na
wengine walidiriki kuripoti kwamba ni dawa za kulevya.
Ally Kiba mwenyewe aliandika kwenye page yake ya twitter kama kukanusha lakini ni tweet ambayo haikuwa rahisi kuielewa au kufahamu alichomaanisha kama unavyoona hapa chini..
Baada ya hii tweet ilibidi millardayo.com imuendee inbox au DM kumuuliza kama ni kweli alikamatwa ambapo hili ndio jibu lake….
Huenda siku kadhaa zijazo Tanzania ikapata sheria mpya itakayokua inadili na watu wanaoitumia vibaya mitandao kama vile kutukana, kuandika uongo na mengine kama hayo… July 26 2013 Wakili Mwandamizi wa Serikali alisema makosa ya kwenye Internet yameongezeka sana Tanzania na hakuna sheria inayodili nayo moja kwa moja hivyo kuna mpango wa kuipata sheria ya hayo makosa .
Source:Millard Ayo

0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!