Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka
kwenye tax ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo
kukawa kama kuna maandamano kueleke barabarani, gafla polisi walitokea
na kuanzanza kutawanya wakati huo yeye alikuwa hayupo.
Ndipo mda mdogo akawasili akashuka na ndipo akapigwa risasi.
------------------------------------
UPDATE:
Haijulikani hali yake. RPC, Faustine Shilogile, anasema hali ni shwari ila Ponda hajui hali yake Maana polisi walizuia gari la Ponda wamkamate, lakini wananchi wakaanza kushambulia polisi ndipo wakarusha risasi hewani kutawanya watu, lakini wananchi wakamtorosha. Anasema taarifa ni nyingi za uongo, hakuna watu polisi wala hospitali waliozingira na anaomba anayejua alipo atoe taarifa.

0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!