Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka
ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha
uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....
Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan
bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana
akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...
Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa
katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi
then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....
Baada ya muda mawasiliano
yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......
Kilichofanya nilete hii mada
hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....
Ili ajionyeshe kuwa yeye ni
salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa
kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel
au danganya toto...
Siku hyo alidai anataman kuwa
na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia
nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake
tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....
Huwezi amin asbh nikachukua tax
nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then
nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na
sijawah kumuona tena....
Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!