Wanajamii wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, ndani ya jiji la maraha jiji la Dar es Salaam wenginie wakiliita DASLAM, wakiwa na hamu ya kutaka kudondosha macho yao juu ya mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mambo yetu yaleeeee ya kikubwa hahahahaha wajua wapi? katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke
Picha na MPEKUZI
0 comments:
Post a Comment
Asante kwa kusoma habari hii! Tafadhali acha tupia maoni yako HAPA!